Advertisements

Saturday, November 22, 2014

MSICHANA AOKOTWA AKIWA TABANI KATIKA UCHOCHOLO WA BAR YA GALAX MJINI KAHAMA


Huyu ni msichana ambaye alikutwa katika uchocholo wa club za bar usiku kati ya galax majira ya asubuhi saa 12 akiwa hajitabuhi 
Baadhi ya wanachi wakijaribu kumuongalia bint huyo akiwa ana fahamu  huku akiwa katika kichocholo huku nguo zake zikiwa zimechanwa na watu wasifamika mjini kahama. 
Askari  polisi wa kituo cha polis kahama thomas munyongo akijaribu kumtabua msichana huyo  na bila mafanikio na kuomba msanda katika kituo cha polisi .
 Baadhi ya watu wakijaribu kumtambua msichana huyo .
kwa picha zaidi bofya soma zaidi
Baadhi ya wanachi wakimchukuwa binti huyo kwenda kwenye gari ya polisi na kupelekwa hospital ya wilaya ya kahama .
Hakiwa katika gari la polisi huku akiwa hana fahamu 
 Msichana akiwa hospital ya wilaya kahama daktali akijaribu kumkangua kama yuko hai .
 Hivi ndivyo msichana alipochukuliwa kupelekwa hospital ya wilaya kahama kwa uchunguzi zaidi
Baadhi ya askari polisi wamtoa msichana ndani ya gari ya polisi baada ya kumfikisha hospital ya wilaya kahama 
.
Hivi karibuni mkuu wa wilaya ya kahama Benson Mpesya alipinga marufuku biashara ya ngono katika wilaya yake. kutokana wasichana wengi kufanya biashara hiyo haramu .
Aidha  wilaya kahama imekuwa ni sehemu kubwa kwa wasichana kuingia katika biashara ya ukahaba jambo ambalo linafanya wasichana  wengi kubakwa na kutupwa katika mitalo ya maji au manyumba yasio kwisha .

Picha kwa hisani ya Mohab Mtukio

2 comments:

Anonymous said...

wadau, yaani hii inasikitisha umati wa watu wakiwa wanamuangalia binadamu aliyeko hai ila katika hali ya taabani, badala ya kutafuta huduma ya kwanza na ya haraka iwezekanavyo watu wanamuangalia machjo wazi!! hii ni aibu, mtu badala ya kuponyeshwa uhai anaangaliwa kusindikiza kupoteza uhai!!!!!!!!!!! Tanzania tujifunzeni kuwa na elimu ya UOKOAJI WA HARAKA badala ya kumwacha mtu afe bila sababu!! hata kama ni mhalifu aokolewe ili hatimaye aseme kilichomsibu, tuache kudanganyana!!.

Anonymous said...

hujaweka comment yangu siyo okay nishakujua huna mpango wowote ule na blog yako