Advertisements

Friday, January 27, 2017

KISOMO CHA AROBAINI YA MAREHEMU Mama Oliva Rwegasira (Mrs. Jamila Fungameza)

As-salamu alaykum.
Familia ya Bwana na Bibi Pius Mutalemwa wa Silver Spring, Maryland, wanapenda kuwatangazia kisomo cha arobaini ya Mama yao mpenzi, Mrs. Jamila Fungameza (Mama Pius) aliyefariki Disemba 15, 2016 na kuzikwa Disemba 17, 2016 huko Picha ya ndege Kibaha, Tanzania.
Kisomo kitakua siku ya JUMAMOSI, Januari 28, 2017.

Anuani: Tabeer Restaurant
1401 University Blvd.
Langley Park, MD 20783
Muda: Saa 8 mchana - saa 12 jioni.

Kwa maelezo zaidi, tafadhali wasiliana na hawa wafuatao:
Mr. Pius Mutalemwa 301-404 6901
Mrs. Juster Mutalemwa 301-404 6529
Bi. Asha Hariz 703-624 2409
Bi. Tumaini Kaisi-Katule 301-433 3411
Bw. Joshua Jonathan 703-932 5150

Tunatanguliza shukrani!

Tafadhali zingatia muda.

No comments: