Advertisements

Friday, January 20, 2017

POLISI WAMWAGWA WASHINGTON, DC KUZUIA WAANDAMANAJI WANAOMPINGA RAIS DONALD TRUMP KESHO WANAWAKE ZAIDI YA LAKI MBILI KUFANYA MAANDAMANO YA AMANI

Image result for trump inauguration protests in washington dc
Vurugu za wanaamanaji zilizopelekea waandamanaji 95 kushikiliwa na polisi kutokana uvunjifu wa amani kama vile kuvunja vioo vya migahawa na maduka yakiwemo magari yote ni kupinga Urais wa Donald Trump na kesho kutakua na maandamano ya amani kutoka kwa wanawake wanao kadiriwa kuwa kama laki mbili mpaka milioni moja. Wanawake wanatarajiwa kutoka majimbo yote ya Marekani kupinga kauli za udhalilishaji alizokua akisisema Rais Trump wakati wa kampeni na kabla ya hapo.
Image result for trump inauguration protests in washington dc
Waandamanaji wakiwa chini ya ulinzi wa polisi ambao nao wameletwa kutoka sehemu mbalimbali za Marekani..
Image result for trump inauguration protests in washington dc
Waandamanaji wanaompinga Rais Donald Trump wakiwa kwenye viwanja vya mnara wa National Mall
Image result for trump inauguration protests in washington dc
Waandamanaji wakiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kufanya uvunjifu wa amani kwenye maandamano yao.
Image result for trump inauguration protests in washington dc
Waandamanaji wakijisalimisha baada ya polisi kutupa mabomu ya machozi.

No comments: