Advertisements

Thursday, February 23, 2017

Dk.Shein akutana na Balozi wa Urussi Nchini

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi wa Shirikisho la Urusi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Yuri Fedorovich Popov alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kwa mazungumzo na Rais leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na mgeni wake  Balozi wa Shirikisho la Urusi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Yuri  Fedorovich Popov  alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi, (Picha na Ikulu)

No comments: