Advertisements

Sunday, April 30, 2017

KARIBU KWENYE IBADA YA KUSIMIKWA NA KUWEKWA RASMI KATKA KAZI YA BWANA

Ndugu wa Swahili Lutheran Church.


Nawataarifu kuwa Jumapili April 30, 2017 kutakuwa na ibada ya kusimikwa na kuwekwa rasmi katika kazi ya Bwana wazee na viongozi wa kanisa.

Misa itakayoanza saa tisa kamili mchana.

Living Faith Lutheran Church
1605 Veirs Mill Road.

Rockville, MD 20851


Pia tutakuwa na mgeni Mch. Anteneh kutoka Synod atakayefika kushuhudia tendo hilo muhimu. Waalike rafiki na jamaa zako waje kujumuika nasi. Ninawaomba wote tafadhali sana muwepo na kwa wakati.

Katibu,
Swahili Lutheran Church.

No comments: