Advertisements

Friday, October 20, 2017

MSIBA DMV NA TANZANIA

Ndugu zetu  Fadhil, Khalid na Saleh Londa, 
wanasikitika kuwajulisha msiba wa Mama yao  uliotokea jana nyumbani  Tanzania . Mazishi yalikuwa leo  nyumbani Tanzania.

Kama ilivyo desturi yetu tujumuike kuwafariji na kutoa  rambirambi  zetu.

 Address :

 3906 Greencastle Dr Apt #102 
Burtonsville,  MD 20866 

Kuwasiliana:
 Khalid: 2405659506 
 Fadhil: 3015479835

 Asanteni

No comments: