Advertisements

Sunday, January 14, 2018

TANGAZO LA MKUTANO MKUU DMV LEO JUMAPILI


SIKU:January 14/2018

WAKATI: TISA MCHANA MPAKA TATU USIKU(3PM -To -9PM)



ANUANI: 4701 31st Pl
MOUNT RAINIER MD 20712

KILA MWANA JUMUIYA ATAKABIDHIWA NAMBA YAKE  MLANGONI NA KUINGIA UKUMBINI

Kamati ya maandalizi imefanya marekebisho na kutoa tamko la kutoruhusu watoto kuja katika mkutano,
baada ya kuona idadi ya mahudhurio ya wana Jumuiya inazidi kuongezeka na ukumbi kuonekana kuwa mdogo. Pia hali ya hewa inachangia kwa vile watoto hawataweza kucheza nje.

Kamati inaomba samahani kwa mabadiliko hayo.

MKUTANO UTAANZA RASMI KUMI JIONI (4:00PM).

Ratiba
Katibu kuwakaribisha wana Jumuiya
1. Ufunguzi
Katibu kuitambulisha na kuishukuru kamati

2🔹Mwenyekiti ~Atasoma ripoti ya kamati

3. Kupata report ya fedha za mchango kwa ajili ya Mkutano Mkuu
🔹Mweka fedha

4.Uchaguzi wa tume ya uchaguzi
🔹 Wanajumuiya - _wakiongozwa na uongozi wa kamati ya maandalizi ya mkutano_

5. Kamati ya maandalizi ya mkutano kuikabidhi Tume ya uchaguzi.
🔹 Mwenyeviti

6. Chakula
🔹 wanajumuiya wote

7.Usafi
🔹wanajumuiya wote

8. Kufunga mkutano mkuu.

No comments: