Advertisements

Tuesday, April 24, 2018

Waziri wa Afya azindua ugawaji wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu Kigoma


WAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ''Vyandarua  bure kwa Wajawazito na Watoto,atakaeuza kukiona''.Waziri Ummy akizungumza leo kwenye ugawaaji wa Vyandarua katika Zahanati ya Mwandiga mapema leo,mkoani Kigoma.
WAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimkabidhi chandarua chenye dawa ya muda mrefu Mwantum Mohammed baada ya kuzindua kuzindua ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri wa mwaka mmoja, mpango ambao unaendeshwa na shirika la Johns Hopkins kupitia mradi wa Vectors Work chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Rais wa Marekani wa kupambana na Malaria. Kulia ni mwakilishi wa USAID Tanzania Andy Karas. 

Mwakilishi wa USAID Tanzania Andy Karas akimkabidhi chandarua chenye dawa ya muda mrefu Asha Juma baada ya uzinduzi wa ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri wa mwaka mmoja, mpango ambao unaendeshwa na shirika la  Johns Hopkins kupitia mradi wa Vectors Work chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Rais wa Marekani wa kupambana na Malaria. 

WAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiwasikiliza akinamama wanaudhuria kliniki kwenye Zahanati ya Mwandinga Wilaya ya Kigoma Vijijini baada ya kuzindua ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri ya mwaka mmoja mpango ambao unaendesha na shirika la 
 Johns Hopkins kupitia mradi wa Vectors Work chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Raisi wa Marekani wa kupambana na Malaria.
WAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiwasikiliza akinamama wanaudhuria kliniki kwenye Zahanati ya Mwandinga Wilaya ya Kigoma Vijijini baada ya kuzindua kuzindua ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri ya mwaka mmoja mpango ambao unaendeshwa na shirika la 
 Johns Hopkins kupitia mradi wa Vectors Work chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Raisi wa Marekani wa kupambana na Malaria.
WAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimkabidhi chandarua chenye dawa ya muda mrefu Mwantum Mohammed baada ya kuzindua kuzindua ugawaji endelevu wa vyandarua vyenye dawa ya muda mrefu kwa akinamama wajawazito na watoto wenye umri ya mwaka mmoja mpango ambao unaendesha na shirika la 
 Johns Hopkins kupitia mradi wa Vectors Work  chini ya ufadhili wa USAID kupitia mfuko wa Rais wa Marekani wa kupambana na Malaria. 

*Vyandarua Bure kwa Wajawazito na Watoto,atakaeuza kukiona
WAZIRI Wa Afya maendeleo ya Jamiii jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameagiza Waganga Wakuu Wa Mikoa,Wa Wilaya na Waganga Wafawidhi kuweka Matangazo katika Vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali kwamba huduma za upimaji na Matibu ya Malaria ni bure na Wananchi hawatakiwi kulipia kwakuwa kuna wafadhili wanao gharamia gharama hizo.
Maagizo hayo aliyatoa jana Mkoani Kigoma katika Zahanati ya Mwandiga Wakati akizindua ugawaji wa Vyandarua endelevu vyenye dawa ya Muda mrefu ,kwa Wakina Mama wajawazito na Watoto wenye umri wa Mwaka Moja wa ushirikiano wa Serikili ya Tanzania kupitia wizara ya afya kitengo cha kudhiti malaria na Shirika la misaada la marekani (USAID) ambapo alipokea Malalamiko kutoka kwa Wananchi wakidai kutozwa fedha kwaajili ya Matibabu na Wakati serikali imeagiza Zoezi hilo ni bure. 

Waziri Mwalimu alisema Ugawaji endelevu wa Vyandarua ni mradi unaoendeshwa kwa pamoja na shirika la JohnsHopkins Center for Communication na Vectorworks kwa ufadhili wa shirika la misaada la Marekani (USAID) kupitia mfuko wa Rais wa Marekani wa Kudhibiti malaria Na kuratibiwa na Serikali kupitia Mradi wa Kupambana na Malaria NMCP kwa hiyo vyandarua hivyo ni bure na Wananchi wanatakaiwa wasilipie. 

Aidha alisema ofisi ya takwimu (NBS) katika kaya mwaka 2017 zilionyesha kupungua kwa kiwango cha Maambukizi ya Malaria hadi chini ya asilimia 10% kutokana na Mikakati iliyowekwa na Wizara kuhakikisha wanatokomeza ugonjwa wa Malaria. 

Alisema mikakati ya Serikali ni kuongeza kasi ya upimaji wa Malaria kwa kutumia kipimo cha (mRDT) Hadubini na Kutumia dawa za mseto pindi wanapothibitika kuwa na Vimelea vya malaria , kuwapatia Wajawazito Vyandarua vyenye viuatilifu ili kujikinga kuumwa na Mbu pia kuwapatia dawa za Sp kwa kipindi maalumu wakati wa ujauzito ilikuwakinga na madhara yatokanayo na Malaria. 

"Niendelee Kusisitiza dawa za malaria na Matibabu ni bure Wananchi hawatakii kulipia, wafadhiri wetu wanajitoa sana kuhakikisha Suala la Malaria liishe , Waganga wafawidhi wanatuangusha sana niombe muweke matangazo na namba za simu kwenye vituo vya Afya iliwananchi watakao lipishwa watoe Malalamiko yao ilikuweza kuondokana na changamoto ya Ugonjwa wa Malaria", alisema Mwalimu. 

Kwa upande wake Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Vijijini , Elisha Robarti alisema zahanati hiyo inakabiliwa na upungufu wa Watumishi wahitaji ni watumishi 15 na waliopo ni watumishi saba hali inayopelekea Watumishi kulemewa. 

Wakitoa Malalamiko yao Wananchi waliofika kupata huduma Katika Zahanati hiyo mbele ya Mh Waziri, Lydia Leonard alisema Wamekuwa wakitozwa shilingi 2500/= kwaajili ya Kipimo cha Malaria na kulipa dawa wanapofika kwaajili ya Matibabu . 

Alisema pamoja na kuwa na Kadi ya bima ya Afya lakini bado wanaendelea kutozwa fedha na kumuomba Waziri kusimamia suala hilo iliwaweze kupata Matibabu bure kama serikali inavyo elekeza. 

Hata hivyo Wananchi hao Shukuru Issa aliomba Serikali kuwajengea Kituo cha Afya Kata ya Mwandiga pamoja na kuboreshewa huduma Za Maji kwani maji wanayo yatumia sio salama na Wanalazimika kutumia Kilomita 13 kufuata huduma na Waziri alitoa maelekezo kwa halmashauri ya Wilaya ya Kigoma Vijijini kuanza ujenzi wa kituo hicho k

No comments: